UTANI KIDOGOπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Wanawake bhana 
Mwanamke wa Kizaramo:
 Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, analivaa dela bila nguo ya ndani mbele yako, unazidiwa anakupa kitu fresh unatoka unatabasamu.πŸ€πŸ½πŸ™ŒπŸ½

Mwanamke wa Kitanga:
Unampa hela anapika vitu Mtaa mzima unasikia harufu ya Chakula, Chenji inayo baki ananunua kinga, ukirudi unakula afu unakula..πŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌπŸ€πŸ½πŸ™ŒπŸ½

Mwanamke wa Kihaya
Unampa hela, ukirudi unakuta Majirani wote wanataarifa kuwa wewe uliacha hela, anakupikia vitu vizuri, usiku anakuhudumia, ukimsifia anakuhudumia tena, hata mara nne kwa usiku mmoja..we mpe sifa tuπŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ€ΈπŸΎ‍♀πŸ‘ŒπŸ½.

Mwanamke wa Kichaga:
Unampa hela anaenda ananunua Dagaa, anapika na Michuzi Mingi mpaka Dagaa Wanafufuka, unakula kwa shida, Dagaa wanakula Utumbo wako, Unakufa.. Madaktari wanajitahidi wanakutibu Unafufuka, ukiwa hujapata akili vizuri, anakuletea Bili ya Maji, anakukumbusha deni la kwa Masawe, anakukumbusha Kodi ya Nyumba.. Unashikwa na Presha, unakufa moja kwa mojaπŸ™ŒπŸ½πŸ˜‚πŸ™†πŸΌ‍♂πŸƒπŸΎπŸ€ΈπŸΎ‍♀

Comments

Popular posts from this blog

MAHUSIANO KWENYE BONGO MOVIES 😁😁