Posts

Showing posts from May, 2020

UTANI KIDOGOπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Image
Wanawake bhana  Mwanamke wa Kizaramo :  Unampa hela ana nunua dela anaenda ana msutia jirani, analivaa dela bila nguo ya ndani mbele yako, unazidiwa anakupa kitu fresh unatoka unatabasamu.πŸ€πŸ½πŸ™ŒπŸ½ Mwanamke wa Kitanga : Unampa hela anapika vitu Mtaa mzima unasikia harufu ya Chakula, Chenji inayo baki ananunua kinga, ukirudi unakula afu unakula..πŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌπŸ€πŸ½πŸ™ŒπŸ½ Mwanamke wa Kihaya :  Unampa hela, ukirudi unakuta Majirani wote wanataarifa kuwa wewe uliacha hela, anakupikia vitu vizuri, usiku anakuhudumia, ukimsifia anakuhudumia tena, hata mara nne kwa usiku mmoja..we mpe sifa tuπŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ€ΈπŸΎ‍♀πŸ‘ŒπŸ½. Mwanamke wa Kichaga : Unampa hela anaenda ananunua Dagaa, anapika na Michuzi Mingi mpaka Dagaa Wanafufuka, unakula kwa shida, Dagaa wanakula Utumbo wako, Unakufa.. Madaktari wanajitahidi wanakutibu Unafufuka, ukiwa hujapata akili vizuri, anakuletea Bili ya Maji, anakukumbusha deni la kwa Masawe, anakukumbusha Kodi ya Nyumba.. Unashikwa na Presha, unakufa moja kwa moja ?...

SHETANI SITAKI MIMI😁😁

 SOMETIMES UMEKAA ZAKO HUTAKI SHIDA NA MTU MARA ANAKUAMBIA SHETANI HEBU MWAMBIE RAFIKI YAKO HAPO AKUKOPESHE ELFU 10😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 .

FOOTBALLER 😁😁😁

[4/19, 5:30 PM] +255 625 063 119: WALE FOOTBALLER WA SHULE MLIKUWA MNAAMBIWA NA WASCHANA "MSINIUMIZIE" MAISHA YENU YANAENDAJE HAPO BARCELONA MMEFIKA HATUA GANI UEFA?😁😁😁😁 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

WADADA WALIOPIGANA 😁😁

[4/19, 5:32 PM] +255 625 063 119: Wadada wakipigana sisi hatuangalii nani kapigwa sana sisi tunachojua yule aliyevuliwa wigi tukaona kichwa kama kibuyu ndio aliyepigwa😁😁

NANI MWINGINE 😁😁

4/19, 5:33 PM] +255 625 063 119:  HIVI UKIACHANA NA MIMI NANI MWINGINE HAPENDI ILE TABIA UNAMPA MTU STORY ILA YEYE YUPO BUSY NA SIMU TU !😁😁

NANI KASEMA😁😁😁

[4/19, 5:35 PM] +255 625 063 119: UTASKIA AKINIPENDA MUNGU NA WAZAZI WANGU INATOSHA😁😁😁😁😁😁😁

JIBU KAMA MKE WANGU 😁😁

[4/19, 5:36 PM] +255 625 063 119:  MKE WANGU JANA WAKATI NAKUPIGA NILIDONDOSHA WALLET YANGU VIPI ULIIONA?😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 ~Jibu kama mke wangu~

UNAJUA KWA NINI YUPO SINGLE😁😁

[4/19, 5:36 PM] +255 625 063 119: usishangae mtu Yuko single! Ingia nae kwenye mahusiano ndio utajua kwann Yuko singleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

BAADA YA KUPOST PICHA FACEBOOK 😁😁

[4/19, 5:45 PM] +255 625 063 119:  Kuna Dada Amepost Picha Yake Facebook Halafu Mama Yake Amecomment "Na Hizo Nguo Ni Za Nani?" 😁😁😁😁

PALE UNAPOJIHISI UPO SALAMA😁😁

[4/19, 10:28 PM] +255 625 063 119:  Kuna mda unakuwa na mtu sahihi katika mahusino yaani hata namba mpya ikikutext Mambo unajibu "Tayari Nina MPENZI"😌😌😌

DAWA YA KUONDOA KITAMBI

  **kopa mkopo mkubwa benki.  **ikicheza taifa-stars bet kua inashinda.  **OA mwanamke mwenye kelele miez 3.  *ukiona hakijaisha jua huna KITAMBI umevimba BANDAMA 😁😁😁😁😁 🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️       

WATU WAFUPI😁😁

πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“  watu wafupi tafadhari msitoke nje usiku😎.  kuna watu wanaiba watoto.  wasije waiba na ninyi wakajua watoto😜😜. 🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️🀸‍♀️       CEO# TROUBLE MAKER.

WAGANGA BHANA😁😁😁

WAGANGA BHANA Mganga anaweza akawa na dawa zote lakini dawa ya MSWAKI ananunua dukani 😁😁😁😁😁 Hapo ndo utakapojiuliza kwanini muuza mkaa haogi mchana 😁😁😳😳✍πŸΏπŸ›΅πŸƒπŸΏ @Utre News ni zaidi ya elimu