Posts

Showing posts from October, 2019

JINSI MZUNGUKO WA ELIMU ULIVYO

01.πŸ‘‰ Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school. 02.πŸ‘‰ Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza. 03.πŸ‘‰ Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa kwanza na wa pili. 04.πŸ‘‰ Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu wote hawana raha. 05.πŸ‘‰ Wale waliopata Zero na waliokataa shule wanakuwa waganga wa kienyeji, wote hapo juu watamtafuta huyu, pale mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‰πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚

KWELI SHILINGI YAUA

Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae akamwambia kwa ukali "Unajua nimechoka sasa, haya kusanya nguo zako na…….. Kabla hajamalizia sentensi simu ya mkewe ikaita, kumbe alikuwa ni baba yake. Basi mzee akaanza kuongea na binti yake huku jamaa anasikia "Aisee mwanangu nimebahatika kuuza ile nyumba yangu sasa nimeona niwatumie milioni 20 mjaribu kuanzisha mradi na mwenzio. Haya mwambie yeye nitampigia kesho kama ana mradi mwingine nimpe hela kidogo".Baada ya simu kukatwa mke akamgeukia jamaa akamuuliza,"eeenhee!!! ulikuwa unasema umenichoka nikusanye nguo zangu halafu iweje? Jamaa kwa upole akajibu "Nilikuwa nasema ukusanye nguo zako na unipe nifue". πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚

PICHAAAAAAAAA CHEKAAAA

Image

MAPICHA YETU YALE

Image
Pale unapoombwa hela YA makeup   Hiki ndio kifo cha mende  Hawa ndio wanafanya mpaka tutapata majina ya mtaa,utasikia sokoni kwa Tumbo Kama bado haujaupdate app hii Basi  BOFYA HAPA Kisha update kwani tumeongeza vitu vingi na unapitwa na mengi ya muhimu.

PICHAPICHA

Image

HAKA KATABIA LAZINA UNACHO TU.

Image
Ukatae ukubali, ukifuatilia picha zako zote ulizowahi kupiga Basi utagundua kuna pozi moja hivi ndo unalipenda hata kama unajua ni la kishamba. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

CHEKA KIPICHAPICHA

Image
Mke wa hivi atarudisha mahali Tunacheka kidogo maisha yanaendelea,utakuwa mchoyo kama hautomwambia mwenzako kuhusu app hii 

NDO ILIVYO

Image
*WANASAYANSI bado wanatafut majibu kwann mwanaume akisukumwa na mwanamke hata kwa kidole kimoja lazim ataangukia kitandanπŸ™„πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜Ž 😎😎😎😎* ~

MCHEPUKO SIO DILI!

Mke wangu alisajili line mpya jina la Jenifer Godson bila mimi kujua. Jana usiku nimerudi home akaniomba elfu 10 akasuke. Nikajibu sina elfu 10 nikampa buku 2 Wakati tumelala, Mara Paa msg katika simu yangu "HI MY LOVE". Kidume nikatoka nje nikaenda toilet, nikaijibu: "we nani" MSG: ni mimi Jane Msambwanda". Kusikia Msambwanda, mshipa wa ubongo ukanicheza. MIMI: Jane Msambwanda wa wapi tena?" MSG: Bwana baby nawe,si pale unapokulaga kila siku?" MIMI: "ooh,kumbe unaitwaga Jenifer, namba yangu umeipata wapi? MSG: "nimepewa na rafiki yako DJ Tipwil, nakupenda sana handsome, sema huwa naogopaga kukwambia, ila mi sijiwez juu yako, yaani kila ukija kula, natamani usiondoke, nikwambie yaliyomo moyoni mwangu, nateseka sana mwenzio" MIMI: Jamani pole mpenzi, hata mimi nilikuwa nakupenda, yaan kila nikiona huo msambwanda nahisi mzunguko wa damu kubadilika, I love you too honey. MSG: Basi mpenzi ,nikuombe kitu MIMI: aah,sema tu MSG...

CHEKA KIPICHAPICHA

Image
Sisi tunakuthamini wewe.  Kikubwa sana tunaomba mwambie na jirani yako kuhusu app hii.  Kila wakati tutahakikisha tunakupa huduma bora 

UNYANYASAJI NDIO HUU

Image
HUU NI UBAKAJI NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA HAIWEZEKAN 1)Cocha Bora Atoke Simba  2) Mchezaji Bora Atoke Simba 3) Timu Yenye Nidham Iwe Simba 4) Timu Isiyo Na Kadi Hata 1 Ni Simba 5) Timu Yenye Magoli Mengi Ni Simba 6) Timu Yenye Point Nyingi Ni Simba 7) Timu Iliyofungwa Magoli Machache Ni Simba 8) Timu Inayolipa Mishahara Kwa Wakat Ni Simba 9) Timu Yenye Mashabiki Wenye Akili Timam Ni Simba 10) Timu Yenye Msemaji Mwenye weredi Ni Simba JE? SISI YANGA NI NINI SASA AU NDO KUWA WA KWANZA KUTOBOLEWA HATT-TRICK KILA MSIMU KWA MISIMU MIWILI MFULULIZO πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hapo vipi saut inatosha au niongezeeeeeeeeeeeeeee

MWONEKANO WA MPOKI NA JOTI ENZI HIZOOO

Image
Wale wachekeshaji wako unaowapenda, hivi ndivyo walivyoanza kuchekesha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€