Posts

PICHA KONKI 😁😁

Image

MFAHAMU MWANAMKE TAHIRA😁😁

Image
WAJUE WANAWAKE MATAIRA 1. Anaevaa mini-skirt halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti huyo nae ni.....Taahira! 2. Anaetoa mimba kisha analala na midoli huyo nae ni....Taahira! 3. Anaedate na mume wa m2 miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaotaka kumuoa huyo nae ni..........Taahira! 4. Anaeweka nywele bandia, kucha bandia,kope bandia akiambiwa amependeza anasema Ahsante, huyo nae ni......Taahira! 5. Mwanamke ambae hamilik hata kitanda lakin anataka mwanaume mwenye gari huyo nae ni....Taahira! 6. Anaesoma post hii kisha anatukana badala ya kubadilika wakati nimemuelimisha huyo nae ni......Taahira. Endelea kutumia Utre News tunakupenda  

Cheko Video 001

Click below 

Cheko 003

Image

Cheko 002

Image

Cheko 001

Image

JINSI MZUNGUKO WA ELIMU ULIVYO

01.πŸ‘‰ Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school. 02.πŸ‘‰ Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza. 03.πŸ‘‰ Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa kwanza na wa pili. 04.πŸ‘‰ Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu wote hawana raha. 05.πŸ‘‰ Wale waliopata Zero na waliokataa shule wanakuwa waganga wa kienyeji, wote hapo juu watamtafuta huyu, pale mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‰πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚