UNANIKARIBISHA NYUMBANI KWAKO HALAFU UNANIAMBIA JISKIE KAMA UPO NYUMBANI NA MIMI NYUMBANI KWETU HUWA NAKULA UGALI NUSU PEKE YANGU NA WEWE UMEPIKA ROBO TULE WAWILI UNA MAANA GANI?ππ
RAIS WA TANZANIA ATANGAZA RASMI BEI YA SUKARI ITAUZWA TSH. 1000 KWA KILO 1 KUANZIA JUMATATU HIIπ€π»π€π»π€π»π€π»π€π»π€π»π€π»π€π»π€π»π€π»π€π»π€π»π€π»π€π»π€π»π€π» GAZETI LA MAJIRA MARCH 06- 1991π Napendaga sana kusoma newz za zamani
MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MWANAUME WA BONGO MOVIE HUANZIA PALE JAMAA ANAPOMSAIDIA MWANAMKE BAADA YA KUPATA AJALI AU MATATIZO !ππππππππππππππππππππππππ